Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi (Swahili Edition)

4.62 avg rating
( 34 ratings by Goodreads )
 
9781477222959: Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi (Swahili Edition)
View all copies of this ISBN edition:
 
Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, World Drugs Enforcement Commission (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya - na kung'oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi - na duniani kwa jumla. Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda - na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili - na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.

"synopsis" may belong to another edition of this title.

About the Author:

Enock Abiud Maregesi alizaliwa Mwanza, Tanzania, na kukulia Musoma na Dar es Salaam, Novemba 25, 1972. Amesomea teknolojia ya habari na utawala wa biashara katika Chuo Kikuu cha Wales, na uandishi wa habari na vitabu katika chuo cha ubunifu wa kifasihi cha Manchester (The Writers Bureau) nchini Uingereza. Hadithi ya Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi ni kitabu chake cha kwanza kilichohamasishwa na wakongwe wa riwaya wa Tanzania - kama Elvis Musiba, Euphrase Kezilahabi na Ben Mtobwa - na utafi ti yakinifu wa miaka kumi na nane wa ujasusi, madawa ya kulevya, ugaidi wa kimataifa na silaha za maangamizi za kikemia na kibiolojia. Anakaa Reading nchini Uingereza ambako anasoma na kufanya kazi.

"About this title" may belong to another edition of this title.

Buy New View Book
List Price: US$ 24.34
US$ 23.63

Convert currency

Shipping: FREE
From United Kingdom to U.S.A.

Destination, rates & speeds

Add to Basket

Other Popular Editions of the Same Title

9781477222966: Kolonia Santita: Laana YA Panthera Tigrisi (Swahili Edition)

Featured Edition

ISBN 10:  1477222960 ISBN 13:  9781477222966
Publisher: AuthorHouse UK, 2012
Hardcover

Top Search Results from the AbeBooks Marketplace

1.

Enock Maregesi
Published by AUTHORHOUSE, United States (2012)
ISBN 10: 1477222952 ISBN 13: 9781477222959
New Paperback Quantity Available: 10
Print on Demand
Seller:
The Book Depository
(London, United Kingdom)
Rating
[?]

Book Description AUTHORHOUSE, United States, 2012. Paperback. Condition: New. Language: Swahili . Brand New Book ***** Print on Demand *****. Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, World Drugs Enforcement Commission (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya na kung oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi na duniani kwa jumla. Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani. Seller Inventory # AAV9781477222959

More information about this seller | Contact this seller

Buy New
US$ 23.63
Convert currency

Add to Basket

Shipping: FREE
From United Kingdom to U.S.A.
Destination, rates & speeds

2.

Enock Maregesi
Published by AUTHORHOUSE, United States (2012)
ISBN 10: 1477222952 ISBN 13: 9781477222959
New Paperback Quantity Available: 10
Print on Demand
Seller:
Book Depository International

US$ 25.50
Convert currency

Add to Basket

Shipping: FREE
From United Kingdom to U.S.A.
Destination, rates & speeds

3.

Maregesi, Enock
Published by Authorhouse (2012)
ISBN 10: 1477222952 ISBN 13: 9781477222959
New Quantity Available: > 20
Print on Demand
Seller:
Pbshop
(Wood Dale, IL, U.S.A.)
Rating
[?]

Book Description Authorhouse, 2012. PAP. Condition: New. New Book. Shipped from US within 10 to 14 business days. THIS BOOK IS PRINTED ON DEMAND. Established seller since 2000. Seller Inventory # IQ-9781477222959

More information about this seller | Contact this seller

Buy New
US$ 21.52
Convert currency

Add to Basket

Shipping: US$ 3.99
Within U.S.A.
Destination, rates & speeds

4.

Maregesi, Enock
Published by Authorhouse 9/12/2012 (2012)
ISBN 10: 1477222952 ISBN 13: 9781477222959
New Paperback or Softback Quantity Available: 10
Seller:
BargainBookStores
(Grand Rapids, MI, U.S.A.)
Rating
[?]

Book Description Authorhouse 9/12/2012, 2012. Paperback or Softback. Condition: New. Kolonia Santita: Laana YA Panthera Tigrisi. Book. Seller Inventory # BBS-9781477222959

More information about this seller | Contact this seller

Buy New
US$ 28.10
Convert currency

Add to Basket

Shipping: FREE
Within U.S.A.
Destination, rates & speeds

5.

Maregesi, Enock
Published by AuthorHouse UK (2016)
ISBN 10: 1477222952 ISBN 13: 9781477222959
New Paperback Quantity Available: 1
Print on Demand
Seller:
Ria Christie Collections
(Uxbridge, United Kingdom)
Rating
[?]

Book Description AuthorHouse UK, 2016. Paperback. Condition: New. PRINT ON DEMAND Book; New; Publication Year 2016; Not Signed; Fast Shipping from the UK. No. book. Seller Inventory # ria9781477222959_lsuk

More information about this seller | Contact this seller

Buy New
US$ 23.64
Convert currency

Add to Basket

Shipping: US$ 4.91
From United Kingdom to U.S.A.
Destination, rates & speeds

6.

Maregesi, Enock
Published by AuthorHouseUK (2012)
ISBN 10: 1477222952 ISBN 13: 9781477222959
New Paperback Quantity Available: 10
Seller:
Ergodebooks
(RICHMOND, TX, U.S.A.)
Rating
[?]

Book Description AuthorHouseUK, 2012. Paperback. Condition: New. Seller Inventory # INGM9781477222959

More information about this seller | Contact this seller

Buy New
US$ 26.17
Convert currency

Add to Basket

Shipping: US$ 3.99
Within U.S.A.
Destination, rates & speeds

7.

Enock Maregesi
Published by Authorhouse
ISBN 10: 1477222952 ISBN 13: 9781477222959
New Paperback Quantity Available: > 20
Seller:
BuySomeBooks
(Las Vegas, NV, U.S.A.)
Rating
[?]

Book Description Authorhouse. Paperback. Condition: New. 406 pages. Dimensions: 9.0in. x 5.9in. x 1.0in.Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, World Drugs Enforcement Commission (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya - na kungoa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi - na duniani kwa jumla. Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda - na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili - na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani. This item ships from multiple locations. Your book may arrive from Roseburg,OR, La Vergne,TN. Paperback. Seller Inventory # 9781477222959

More information about this seller | Contact this seller

Buy New
US$ 31.72
Convert currency

Add to Basket

Shipping: FREE
Within U.S.A.
Destination, rates & speeds

8.

Enock Maregesi
Published by Authorhouse (2012)
ISBN 10: 1477222952 ISBN 13: 9781477222959
New Quantity Available: > 20
Print on Demand
Seller:
Books2Anywhere
(Fairford, GLOS, United Kingdom)
Rating
[?]

Book Description Authorhouse, 2012. PAP. Condition: New. New Book. Delivered from our UK warehouse in 4 to 14 business days. THIS BOOK IS PRINTED ON DEMAND. Established seller since 2000. Seller Inventory # LQ-9781477222959

More information about this seller | Contact this seller

Buy New
US$ 22.08
Convert currency

Add to Basket

Shipping: US$ 11.44
From United Kingdom to U.S.A.
Destination, rates & speeds

9.

Maregesi, Enock
Published by AuthorHouseUK
ISBN 10: 1477222952 ISBN 13: 9781477222959
New PAPERBACK Quantity Available: > 20
Seller:
Russell Books
(Victoria, BC, Canada)
Rating
[?]

Book Description AuthorHouseUK. PAPERBACK. Condition: New. 1477222952 Special order direct from the distributor. Seller Inventory # ING9781477222959

More information about this seller | Contact this seller

Buy New
US$ 31.03
Convert currency

Add to Basket

Shipping: US$ 7.00
From Canada to U.S.A.
Destination, rates & speeds

10.

Enock Maregesi
Published by AuthorHouseUK (2012)
ISBN 10: 1477222952 ISBN 13: 9781477222959
New Softcover Quantity Available: 1
Seller:
Irish Booksellers
(Portland, ME, U.S.A.)
Rating
[?]

Book Description AuthorHouseUK, 2012. Condition: New. book. Seller Inventory # M1477222952

More information about this seller | Contact this seller

Buy New
US$ 38.19
Convert currency

Add to Basket

Shipping: US$ 3.27
Within U.S.A.
Destination, rates & speeds

There are more copies of this book

View all search results for this book