Items related to Safari YA Juma: Riwaya YA Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga...

Safari YA Juma: Riwaya YA Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga Safari Ili Kumtafuta Mungu Nchini Tanzania (Swahili Edition) - Softcover

 
9781499359862: Safari YA Juma: Riwaya YA Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga Safari Ili Kumtafuta Mungu Nchini Tanzania (Swahili Edition)
View all copies of this ISBN edition:
 
 
UNAWEZA KUTEMBEA UMBALI KIASI GANI UKIWA PEKU? Mwandishi wa “Safari ya Juma” anakualika uifuatilie simulizi ya kijana Juma aliyetembea peku umbali wa kilomita 1529 kutoka Mbeya iliyopo kusini hadi Arusha iliyopo kaskazini mwa Tanzania. Masaa kadhaa kabla ya kufariki, Juma alimwahidi mamake kuwa angemtafuta mzungu mmishenari aliyeko Mbeya ili amweleze habari za Yesu. Juma agundua kua yule mzungu ameishaondoka Mbeya kuelekea Arusha na hivyo hana budi kumfuata huko ili kuitunza ahadi aliyomwahidi mama yake ambaye sasa ni marehemu. Katika safari hii hatari, Juma akumbana na vipingamizi vingi vya kimwili na kiroho pia. Utamhurumia anapokumbana na chui na kulengwa na majangili, anapotekwa na kutumikishwa kiutumwa. Je! atasalimika kutoka katika mikono ya mbwa-mwitu wakali wanaomwinda msituni? Akiwa amepoteza fahamu na ni mgonjwa amelala kando ya barabara, Je! kuna matumaini yeyote ya kuokolewa? Je, atafika Arusha? Soma kitabu hiki ili kupata majibu!

"synopsis" may belong to another edition of this title.

About the Author:
Baada ya kutumika kwa miaka 23 katika sekta ya sayansi ya teknolojia (Miaka 16 na Texas Instruments), Edwin Scroggins aliamua kubadili fani yake. Ili kujiandaa katika sekta ya elimu ya Kikristo, Edwin alijiunga na chuo na kupokea shahada ya Elimu ya Biblia na pia kupokea Shahada ya juu ya elimu ya watu wazima. Mwaka 1978, Edwin alijiunga na chuo cha Dallas Bible College kama mmojawapo wa wakufunzi. Alitumika katika chuo hicho kama msaaidizi wa raisi wa chuo katika kuandika miradi mbalimbali ili kupata misaada kutoka katika taasisi tofauti tofauti, pia alikuwa mkufunzi hapo chuoni na mratibu wa mitaala mbalimbali kwa wanafunzi walioko nje ya chuo. Miongoni mwa vitabu alivyoandika ni pamoja na Prophecy for Today kilichochapwa na Chuo cha Biblia cha Dallas mwaka 1971, na pia kitabu kiitwacho Bible Prophecy in a nutshell, kilichochapwa na BookSurge mwaka 2007. Aidha vitabu vingine kama, Strawberry Lane na Return to Strawberry Lane, vyote vilichapwa na BookSurge mwaka 2007. Kitabu kiingine kiitwacho How I Built My Retreat Cabin in the Woods and Lived to Write About It kilichapwa na BookSurge mwaka 2008. Mwaka 2010, kampuni ya CreateSpace Ilichapa kitabu kingine cha Edwin kiitwacho The Promise and Passion of Christ the King. Toka mwaka 1961, Edwin amekuwa akiishi katika mji wa Richardson, Texas pamoja na mkewe Alma, ambaye wameishi pamoja kwa miaka 61. Mke wake alifariki Aprili, 2011, na Edwin alikusanya kila kitu ambacho mke wake alikuwa akiandika na kisha kuandika kitabu kiitwacho Songs in the Night: Memories of Alma Grace Scroggins (Kilichapwa na CreateSpace mwaka 2012). Edwin anaendelea kuishi katika nyumba yake ambayo yeye na mke wake wamekuwa wakiishi kwa zaidi ya miaka 50.

"About this title" may belong to another edition of this title.

Shipping: US$ 11.24
From United Kingdom to U.S.A.

Destination, rates & speeds

Add to Basket

Top Search Results from the AbeBooks Marketplace

Stock Image

Edwin W Scroggins
ISBN 10: 1499359861 ISBN 13: 9781499359862
New Paperback / softback Quantity: > 20
Seller:
THE SAINT BOOKSTORE
(Southport, United Kingdom)

Book Description Paperback / softback. Condition: New. New copy - Usually dispatched within 4 working days. Seller Inventory # B9781499359862

More information about this seller | Contact seller

Buy New
US$ 16.04
Convert currency

Add to Basket

Shipping: US$ 11.24
From United Kingdom to U.S.A.
Destination, rates & speeds
Stock Image

Edwin W Scroggins
ISBN 10: 1499359861 ISBN 13: 9781499359862
New Paperback / softback Quantity: > 20
Print on Demand
Seller:
THE SAINT BOOKSTORE
(Southport, United Kingdom)

Book Description Paperback / softback. Condition: New. This item is printed on demand. New copy - Usually dispatched within 5-9 working days. Seller Inventory # C9781499359862

More information about this seller | Contact seller

Buy New
US$ 16.75
Convert currency

Add to Basket

Shipping: US$ 11.24
From United Kingdom to U.S.A.
Destination, rates & speeds