Items related to Jifunze Kuongea Kiingereza - Mwanzo (Swahili Edition)

Jifunze Kuongea Kiingereza - Mwanzo (Swahili Edition) - Softcover

 
9781542890595: Jifunze Kuongea Kiingereza - Mwanzo (Swahili Edition)
View all copies of this ISBN edition:
 
 
Jifunze Kuongea Kiingereza - Mwanzo Toleo la Pili ni kitabu kitakachokupatia mwanga na utambulishio mkubwa katika lugha ya Kiingereza. Toleo hii la Pili limeongeza sura kadhaa zitakazo kuongezea mpango wako wa kujifunza lugha hii na pia kuna marekebisho ya makosa kadhaa yaliyojitokeza katika toleo la kwanza. Kitabu hiki kimegusia mambo mengi ambayo ni muhimu sana katika utambulisho wa lugha hii kama jinsi ya kutamka maneno mbalimbali, tofauti ya baadhi ya maneno katika Kiingereza kinachoongelewa na watu wa Marekani ya Kasikazini na wale wa nchi zingine, matatizo yanayosababisha watu wengi kutoweza kuongea Kiingereza kwa ufasaha au kutoweza kusikia watu wakiongea lugha hii ya Kiingereza, kanuni mbalimbali za kuzingatia wakati mtu anaongea lugha hii mpaka sababu na makosa makubwa yanayofanywa na watu wengi ambao Kiswahili ni lugha yao ya kwanza. Kitabu hiki kinawaongoza wanaojifunza lugha hii ya Kiingereza kwa njia ya misimu na misemo mbalimbali ambayo husemwa na wasemaji wa lugha hii katika maongezi yao ya kila siku, ambayo hutoa utangulizi mkubwa wenye thamani katika kukusaidia kujifunza kuongea lugha hii ya Kiingereza. Zijue siri za kuongea Kiingereza kwa mapema zaidi ambazo hutaweza kufundishwa na walimu wa lugha hii au hutaweza kuzipata kutoka katika vitabu vya darasani vinavyotumiwa kufundisha lugha hii huko mashuleni. Msomaji wa kitabu hiki akifuata kwa makini maelekezo yaliyoandikwa katika kitabu hiki na kufanya mazoezi yaliyotolewa katika kitabu hiki pia akifanya mazoezi ya kuongea lugha hii ya Kiingereza kila siku ataweza kuongea lugha hii au kusikia watu wanaongea lugha hii vizuri zaidi ya uwezo wake aliokua nao hapo awali kabla hajaanza kusoma kitabu hiki.

"synopsis" may belong to another edition of this title.

About the Author:
Pauline Mandari alizaliwa na kukulia Tanzania. Kwa sasa hivi anaishi jimbo la New Jersey na familia yake. Anaongea lugha mbalimbali na Kiingereza ni lugha yake ya tatu. Amefundisha watu kuongea Kiswahili katika shule yake ya mtandao (Cyber Swahili) kwa miaka 8 sasa na toka Januari ya 2016 alianza kujitolea muda wake wa ziada kufundisha watu kuongea Kiingereza kwa kutumia Whatsapp. Pauine ni mwanzilishi wa gazeti la Toto Shine - gazeti la watoto linalochapishwa nchini USA na pia ni mwanzilishi mshiriki wa gazeti la Jersey Bound Swahili - gazeti linalochapishwa kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili katika jimbo la New Jersey kwa jamii za watu wanaoongea Kiswahili.

"About this title" may belong to another edition of this title.

  • PublisherCreatespace Independent Pub
  • Publication date2017
  • ISBN 10 1542890594
  • ISBN 13 9781542890595
  • BindingPaperback
  • Edition number2
  • Number of pages152

Buy Used

Condition: Good
Pages can have notes/highlighting... Learn more about this copy

Shipping: FREE
Within U.S.A.

Destination, rates & speeds

Add to Basket

Top Search Results from the AbeBooks Marketplace

Stock Image

Mandari, Pauline
ISBN 10: 1542890594 ISBN 13: 9781542890595
Used Paperback Quantity: 1
Seller:
ThriftBooks-Dallas
(Dallas, TX, U.S.A.)

Book Description Paperback. Condition: Good. No Jacket. Pages can have notes/highlighting. Spine may show signs of wear. ~ ThriftBooks: Read More, Spend Less 0.47. Seller Inventory # G1542890594I3N00

More information about this seller | Contact seller

Buy Used
US$ 25.98
Convert currency

Add to Basket

Shipping: FREE
Within U.S.A.
Destination, rates & speeds